Recent content by boring introvert

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

    SEMA lamomy nakutegemea ujue kesho ndo nimeamua liwalo na liwe na feedback nitaileta hapa hapa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

    Ndo maana nimekuja jf home of great thinker nilijua watu Kama nyie sitawakosa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

    Ndio mkuu ila Nina mwezi wa pili sijapanda ndo kidogo naanza kujishtukia
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

    Kama ni wewe utakubali
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

    Nalifanyia kazi SEMA chama la dronedrake ndio chanzo najuta kujiunga
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

    SEMA mkuu inabidi nikufuate pm una madini ya congo
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

    Niko chamani mkuu SEMA najitahidi nimepunguza
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

    Mkuu umenipa point naenda kujaribu nitakupa feedback
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

    Najitahidi mkuu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

    Mbishe nafocus nazo sema mapenzi nayo Yana nafasi yake mkuu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

    Habari Wana JF hope mko poa. Hakuna kitu kinaumiza hapa duniani Kama unampenda mwanamke na yeye anaonesha kabisa kukuelewa lakini unashindwa kumwambia. Ni mwaka wa tatu toka ni fall in love kwa huyu mtoto ebanaee. Huwezi amini in all that year nimeshindwa kumwambia kwamba nampenda japo najua...
Back
Top Bottom