Recent content by Bon-CN

  1. B

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Inauma kwa kweli sema ndo hivyo tena tufanye nini. Kinachonikera zaidi majirani zangu ni Mautopolo mtupu halafu naona kama yamefanya makusudi kuja kuangalia mechi ghetton wakati mwenyewe nilikuwa naangalia tamthilia ya Jumong:mad:
  2. B

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Hao wateja ambao biashara inawahitaji hawawezi kuwa extremists kwa sababu Extremism ni sumu kwenye biashara! Hotel ni sehemu ambayo kila mgeni anahitaji kujisikia yupo salama lakini mtu hawezi kujisikia salama ikiwa miongoni mwa wageni hawataki kusikia utetezi dhidi ya wanaokandamizwa na...
  3. B

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Kwahiyo usalama wa utalii upatikane kwa ku-entertain extremismm? Unaanzaje kuchukizwa na uhuru wa taifa lingine halafu bado unataka uwe entertained kwa kisingizio cha biashara? Hivi ikiwa wanakerwa hadi na stika waliyoiona thousands of miles away from their country; ulishawahi kujiuliza reaction...
  4. B

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    HEEEEEE! Yaani mtu kaweka kwenye gari lake halafu unasema kosa lake ni kuwaonesha Waisraeli kuwa yeye ni adui? Nitakueleza kama nilivyowaeleza wenzako. Hao ma-Extremists wangekuwa na haki ya kuhoji endapo stika ingekuwa INAPINGA uwepo wa Taifa la Israel lakini sio kupinga ku-advocate uhuru wa...
  5. B

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Hivi kwanini mnahusisha hili suala na mambo ya imani?! Tangu lini suala la uhuru wa nchi moja likawa ni suala la kiimani?! Tangu lini suala la ku-advocate uhuru wa taifa lingine likawa nisuala la kiimani?Hivi Stika inapinga Uyahudi ama au ina-advocate uhuru wa taifa linalotambuliwa na sheria za...
  6. B

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Kwanini awe concerned? Wangekuwa sahihi endapo hiyo stika ingekuwa INAPINGA Taifa la Israel lakini ni stika inayo-advocate uhuru wa taifa lingine! Yaani wawe concerned kwa maana hawataki kusikia uhuru wa taifa linalotambulika na sheria za kimataifa? Na kama hawataki kusikia jambo kama hilo, sasa...
  7. B

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    We msichana una akili sana! Wewe jifiche tu lakini ukweli unaingiza udini! Kumbuka kwenye post ya kwanza niliyoku-quote nilikuuliza how come suala la uhuru wa nchi moja liwe ni suala la kiitikadi? Na kama ni itikadi kwanini itikadi ya kikandamizaji iwe entertained? Umewshindwa kujibu hayo...
  8. B

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Hapo ndo mnapokosea. Kwanini useme huongozwi na mihemeuko ya kidini? Ina maana suala la uhuru wa Palestina ni la kidini? Na kama ni suala la kidini, dini ipi inayounga mkono taifa moja kukandamiza taifa lingine? Au ni hadi nikukumbushe wakati Tanzania ni Tanzania kweli tulivunja ushirikiano na...
  9. B

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Sasa Meneja ameweka Stika ya Kupinga Taifa la Israel au ameweka Stika ya ku-advocate Uhuru wa Palestina?! Hivi kuna mwanadamu gani mwenye akili sawasawa anayeweza KUPINGA uhuru wa taifa lingine? Ni mwanadamu gani mwenye akili sawasawa anayeweza kuona mtu anaye-advocate uhuru wa taifa lingine...
  10. B

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Acha kujidanganya! Hao Zionists wanapingwa na nchi kibao tu! Tumebaki Miafrika tunaoshindwa kutofautisha kati Ukristo, Judaism, Jews na Zionists. Hata nchi zinazowaunga mkono, huo uungaji mkono ni wa serikali zao; na hizo serikali zao zinafanya hivyo kutokana kuona Israel ndie Mshirika pekee...
  11. B

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Ukristo Fake usiofahamu biblia unakusumbua! Yaani bila aibu unaweka kifunga na kifungua semi kwenye neno uhuru? Btw, hadi uhoji kama ni kituo cha kupigani uhuru; kwani umeambiwa hao Wayahudu wenzako walikuta mafunzo ya kijeshi?!
  12. B

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Tangu lini suala la Free Palestine likawa ni suala la kiitikadi? Hivi suala la Palestina kuwa huru ni suala la kidini?! Nitajie itikadi moja inayohalalisha taifa moja kulikalia taifa lingine kimabavu kwa sababu yoyote ile. Kwanini uwa-entertain watu wanaoshabikia ukandamizaji kwa kigezo eti cha...
  13. B

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Imani ya dini gani inayokataza au kupinga uhuru wa taifa lingine? Tangu lini itikadi za nchi moja kukandimiza nchi nyingine zikawa ni itikadi za kuwa entertained?
  14. B

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Umeandika ujinga wa viwango wa SGR. Eti ukiigusa Israel umeigusa Ulaya na kwahiyo wanaweza kuzuia Watalii kuja TZ! Wewe lazima utakuwa Msabato manake mawazo ya kitumwa kama hayo nayasikia sana kwa ndugu zangu wengine ambao na wenyewe ni Wasabato! Sheria za kimataifa zinatambua uwepo wa Taifa la...
  15. B

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    Kwanza mimi sio Uto, lakini pia sio Shabiki Maandazi wa kujifanya kutoona kwamba hata Shirikisho ilitushinda. Hayo maelezo mengine yako mengine ni kelele tu kwa sababu hayahusiani na ambacho ulihoji na kujibiwa.
Back
Top Bottom