Recent content by boniphace Nyangi Kichonge

  1. B

    Kwa Wasabato; Kwanini mnatumia kalenda ya Wakatoliki, Warumi kuhesabu siku za ikiwemo kutambua siku ya Sabato? Kalenda ni sahihi kwenu?

    Wadau naomba ushauri wenu kuhusu hoja husika. Msimamo wa wasabato kanisa katoliki ni alama ya ant Christ kwa mujibu wa the book of revelation. Sasa inakuwaje kalenda yao wakatoliki na Warumi iwe sahihi na waitumie kujua kuwa Sabato ni siku fulani?
  2. B

    Auckland na McMurdo wa kwanza Duniani kuwa mwaka mpya 2026

    Wadau maeneo hayo huko New Zealand na Antarctica muda huu ni januari 2026
  3. B

    Kwa wasabato; Je, Wakristo waliouawa na kuteswa kikatili na dola ya Warumi karne ya 2, 3 na 4 walikuwa wa dhehebu gani?

    Habarini wapendwa wote. Moderator naomba sana uzi huu uwe huru tafadhali Ni swali la msingi la kuweka sawa kumbukumbu za kihistoria
Back
Top Bottom