Recent content by Bonge Mpya

  1. B

    JamiiForums Tanzania Blog ni ajira, naingiza milioni 1 kwa mwezi

    Long learning
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 25,000/ Unavyonipatia laki 4 kila Mwezi

    View blog
  3. B

    JamiiForums Tanzania Blog ni ajira, naingiza milioni 1 kwa mwezi

    Labda niandae uzi mwingine
  4. B

    JamiiForums Tanzania Blog ni ajira, naingiza milioni 1 kwa mwezi

    Kama unaamua kuifanya blog kuwa sehemu ya kipato ni Bora ununue domain (25,000/= au zaidi). Lakin pia domain ya .blogspot inachukua muda mrefu sana kuikonekt na Adsense na pia haifany vzur sana Google. (Yan Kupata organic traffic) Kuikonekt na Adsense ingia kwenye dashboard yako ya blogger...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Blog ni ajira, naingiza milioni 1 kwa mwezi

    Iyo post inajieleza...Fatilia zaidi kuhusu AdSense hao ndio wanaolipa.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Blog ni ajira, naingiza milioni 1 kwa mwezi

    Mwaka huu 2022 Mwezi wa 5 nilipost Uzi mmoja kuhusu blog (Usome hapa). Kuna baadhi walinicheki niwape msaada nilifanya ivyo ingawa ni wachache tu waliofanya kweli na sasa wanapiga pesa. Hivyo basi, huu ni mwendelezo wa mada Ile ambayo kwa kipindi kile nilikuw napata 400k Hadi 600k kwa Mwezi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Natumia Blog kupata PESA. Hivi ndivyo ninavyopata VIEWS

    Kuna mambo kama hujui ni Bora ukae kimya tu.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natumia Blog kupata PESA. Hivi ndivyo ninavyopata VIEWS

    Sijatangaza BIASHARA ya kutengezeza blog. Nime-share uzoefu wangu kuhusu blog. Kama ulivyosema, sio KAZI rahisi hivyo Na-share uzoefu wangu Ili kama Kuna mtu anapata shida sehemu iwe rahisi kutatua.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Natumia Blog kupata PESA. Hivi ndivyo ninavyopata VIEWS

    Kila la kheri
  10. B

    JamiiForums Tanzania Natumia Blog kupata PESA. Hivi ndivyo ninavyopata VIEWS

    Umeelewa vibaya...1000 ni Clicks napata kutoka Google.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Natumia Blog kupata PESA. Hivi ndivyo ninavyopata VIEWS

    Ndo tatzo lenu hilo. Kama vipi wawe wanapost hao Mods peke Yao.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Natumia Blog kupata PESA. Hivi ndivyo ninavyopata VIEWS

    Habari Siku zilizopita nilipost Uzi kuhusu Mtaji wa 25,000 Unavyonipatia laki 4 kila mwezi>> Watu wengi walitaka kujua jinsi ya kupata Watembeleaji wengi kwenye Blog. Binafsi natumia njiaa kuu mbili kupata views kwenye blog yangu. 1. Natumia Magroup ya WhatsApp>. Huwa Na-share Links za posts...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 25,000/ Unavyonipatia laki 4 kila Mwezi

    Huenda wewe ndo ukawa Zwazwa. Kama unafanya Blogging huwezi kukosoa Uzi huu ila kama hujui kuhusu Blogging wewe ni Zwazwa Mkuu
Back
Top Bottom