Ndg ya Mwampamba naona ulikuwa mahakamani ukiweweseka wakati bosi wako anasulubiwa...ha ha ha sasa ya kwenye kikao yalikuwa yanakuhusu nini? Msubili bosi wako huko ccm
Leo mchana diwani wa kata ya daraja II na Naibu Mayor wa Jiji la Arusha Ndg Prosper Msoffe amezungumza na vyombo vya habari akimuagiza Mkurugenzi wa idara ya maji kufukua chemba zote za maji taka za mahoteli kumi(10) aliyoyaziba kwa zege kwa madai ya kuwadai wamiliki wa mahoteli hayo,
Hoteli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.