Recent content by bomabo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msanii Lina Sanga asikilize kwa umakini wimbo mpya wa Lady Jaydee "Mambo Matano" kuna kitu atahisi na kuchefukwa

    Nyimbo za wizi zipo nyingi sana bongo,kuanzia melody, lyrics, maudhui, Video, sema ndo hivyo tu ukianzisha hiyo topic au special thread ya nyimbo za wizi utaonekana hater. Mfano Whozu Ft. Marioo – Mungu Baba tusamehe tumelewa = church heathen ya shaggy. Sasa hivi ni mwendo wa kuiga tu iwe za...
  2. B

    JamiiForums Tanzania jema lingine toka kwa Diamond-kwa mara ya kwanza BET wacheza video ya Tanzania

    Nia yake ni diamond aongelewe ili msimsahau akitoa single i-hit hata kama ni mbaya,na akiandika uongo ndo mtaongea zaidi,thats why post hua za uongo or controversial ili mkeshe mnaongea.
  3. B

    JamiiForums Tanzania jema lingine toka kwa Diamond-kwa mara ya kwanza BET wacheza video ya Tanzania

    Nia yake ni diamond aongelewe ili msimsahau akitoa single i-hit hata kama ni mbaya,na akiandika uongo ndo mtaongea zaidi.
Back
Top Bottom