Recent content by Bolibo

  1. Bolibo

    Nauli mpya za mabasi ya mkoani hizi hapa!

    Pia kitukingine ambacho wamechemka sana nikitendo chakuonyesha route zote huanzia dar peke wakati kunamijimingi tu tanzania ambayo imeendelea na imekwishapewa hadhi ya kuwa majiji !!!!!!?
  2. Bolibo

    Nauli mpya za mabasi ya mkoani hizi hapa!

    Bado sana tunahitaji route za mikoa yote tanzania tuzione hapo waache ujanja ujanja!!!!!!!
  3. Bolibo

    Nauli mpya za mabasi ya mkoani hizi hapa!

    Wamechemka kwani nimikoa hiyo tu michache ndiyo wanatumia usafiri wabasi? wajipange upya bado sannah
  4. Bolibo

    Komandoo wa JWTZ Kikosi cha Ngerengere mbaroni kwa mauaji

    Kwakweli ameizaririsha nchi !!!!
  5. Bolibo

    Komandoo wa JWTZ Kikosi cha Ngerengere mbaroni kwa mauaji

    Wazifa wake ktk nchi ushaporwa na shetani.
  6. Bolibo

    Komandoo wa JWTZ Kikosi cha Ngerengere mbaroni kwa mauaji

    Na sasa si komandoo tena ni muaji !!!!
  7. Bolibo

    Kodi katika mishahara ya watumishi kupunguzwa

    Swali kwa huyo katibu? ameongelea kuhusu wafanyakazi wa uma wasijihusishe na siasa! na je analionaje hili la mawaziri kuwa wabunge! au katumwa kuja kufanya siasa za chinichini na kuwapiga mkwara wafanyakazi wa uma. Kwajili ya uchaguzi ujao wa 2015, asijidanganye huyo sasahivi kila mtu anaijuwa...
  8. Bolibo

    Nini Kazi ya Rais Kama hawezi kukemea kuonya au kuliepushia Taifa hasara?

    Wote ni walewale hapo hakuna wakumkemea mwenzie! nishidah kama mtanzania final ni 2015 tumia kura yako vizuri, kura yako ndiyo itakayo leta usawa ktk tanzania.
  9. Bolibo

    Mwigulu Nchemba Utawaua bure Maafisa ktk Halmashauri mbalimbali hapa Nchini

    Uko sawa nivema kwa mtu yeyote anapofanya jambo zuri ni vyema kupongezwa, ili kumpa moyo aendele kufanya vizuri zaidi.
  10. Bolibo

    Gharama kuunganisha umeme wa majumbani bure mwakani

    N hivi washazibiti rushwa tz. Kuunganishiwa meme bure, kwa nchi yetu hi bado sana! ni kama ndoto za alinacha sijuwi. Maana hi huduma ya sasa ya kuunganishiwa umeme ni yakulipia na watu tunalipia gharama zote za kuunganishiwa umeme, na bado hatupewi hiyo huduma kwa wakati, mpaka utoe rushwa ndipo...
  11. Bolibo

    Rais Jakaya Mrisho Kikwete hoyee!

    Tunampongeza kwa kusikiliza malalamiko yalio ya wengi ukijumuisha na ukawa, na wengi tulilalamika kuhusiana na hu mchakato jinsi ulivyokuwa unaendeshwa ktk lile bunge la kuunda katiba mpya, kwa kweli lile bunge lilikuwa linaendeshwa ndivyo sivyo, kwamanahiyo sasa uamuzi alio chuwa raisi ni...
  12. Bolibo

    Rais Jakaya Mrisho Kikwete hoyee!

    Hao niwaharibifu tu hawana issue kaziyao kubwa ni kuvimbisha matumbo yaotu, na hawako kimaslahi ya nchi! na sasa ni kazi kwetu wa tanzania kuwatambua vizuri watu wa jinsi hiyo, na watu wa jinsi hiyo huruka yao kubwa ni unyonyaji.
  13. Bolibo

    Wengi ya wanaJF wameifanya Jamiiforums ni sehemu ya kujifariji

    Yeye ndiyo anajifariji JF huo ni utafiti mufirisi.
Back
Top Bottom