Recent content by Bokohalamu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa waliowahi kufanya usaili SUMATRA

    Jamani hii kitu vp?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kuitwa Kazini NSSF

    Tutakoma nini?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa waliowahi kufanya usaili SUMATRA

    Wakuu SUMATRA vp mwenye update ya oral naona kimya?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili COASCO

    Ilikuaje mkuu inaonekana mlikua wachache sana,mi nilishindwa hudhuria!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili COASCO

    Kaka naomba kujuzwa,hiyo tarehe 24 na 25 ni mwezi huu kweli,kama ni hivyo mbona muda mfupi wametoa mi wamenipigia jana.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Anaye ijua Equity for Tanzania LTD

    Niliapply nataka kujua!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Anaye ijua Equity for Tanzania LTD

    Mkuu ni kwamba ningependa kufahamu mazingira ya kazi ktk hii kampuni yakoje na ikiwezekana kujua kama inawajali wafanyakazi wake ama lah.Si unajua mambo ya private ni shiida.Pia wamiliki ni wabongo ama raia wa kigeni!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Anaye ijua Equity for Tanzania LTD

    Tafadhali anaye ifahamu hii kampuni anipe details zake,wako vzur ama niaje!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hii hatari: Watu 3034 nafasi 4, interview ya LAPF

    Aisee hatari,sijilaumu kwa kuto apply isitoshe ingenibidi kusafiri kutoka mkoani,kwa nyomi hilo noma!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Sekretarieti ya Ajira, 9 Julai 2015

    Ok ni online mkuu!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Sekretarieti ya Ajira, 9 Julai 2015

    Kwenye tangazo lao wamehitaji na passport, sasa sijui ni ile sehemu ya picture inayokua kwenye ile form yao,though mimi sijaiweka picture bado.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Sekretarieti ya Ajira, 9 Julai 2015

    Shukrani mkuu,vp jinsi ya kutuma passport size.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Sekretarieti ya Ajira, 9 Julai 2015

    Wakuu msaada jinsi ya kutuma passport size!Hiv hawa jamaa si walitoa nafasi na tuliapply kupitia website yao TANAPA ama ni wengine?
  14. B

    JamiiForums Tanzania LAPF Saccoss Dodoma wameshaita ama bado?

    Tafadhali Chief kua serious watu mia 3 nafasi ngapi na interview 4 watakua wanatafuta nini?Utafikiri NEC wanatafuta mgombea!!
  15. B

    JamiiForums Tanzania LAPF Saccoss Dodoma wameshaita ama bado?

    Tafadhari naomba kujuzwa hivi hawa jamaa walishaita kwenye Saccoss yao Dodoma post ya accounts.
Back
Top Bottom