Nimekaa nimewaza sana ivi wanawake pesa zenu mnanunuaga nini OK ngoja nitoe mfano kwamfano mwanamke ameolewa Na anafanya kazi Na anapata mshahara Lakini utakuta Hela ya kodi ya meza ni mwanaume mafuta kwenye gari ni mwanaume shopping ni mwanaume kila kitu ni mwanaume huwa mnanunua nini au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.