Recent content by Bobby12

  1. B

    SoC02 Taasisi kama TEMDO, TIRDO na zinazotengeneza pembejeo za kilimo kufanya mpango utakaowawezesha wakulima kumudu gharama na kufanya kilimo chenye tija

    Pembejeo za kilimo kama vile trekta na mashine za kusaga, kukoboa, kukausha nafaka na kukamua mafuta na vitu vingine bado upatikanaji wake kwa wakulima umekuwa ni kitendawili mfano wakulima wamekuwa wakinunua mashine za kukamua zabibu kutoka china lakini wamekuwa wakilalamika zinakufa haraka...
  2. B

    SoC02 Utatu kati ya Serikali, elimu na uchumi utakaoleta mabadiliko katika sekta ya elimu na kusaidia kujenga uchumi wenye tija

    Utatu kati ya serikali, elimu na uchumi Serikali. Ili serikali iweze kukuza uchumi ni lazima kufanya kwanza maboresho katika mifumo yake ya elimu, kwa kuweka miundo mbinu wezeshi kumwezesha mwanafunzi kujifunza mfano majengo ya maabara na ya utafiti yawe hata kuanzia shule za msingi watoto...
  3. B

    SoC02 Jinsi Serikali inavyoweza kutumia miradi mipya ya kibunifu kuingiza mapato zaidi kuliko kutegemea tozo na kodi zaidi

    Tozo Tozo ni ushuru au kodi ambayo wananchi wanatozwa na serikali. Pia hii ni aina moja wapo ya chanzo cha mapato kwa serikali za sasa hasa zile za ulimwengu wa tatu ambayo pia huchangia maendeleo ya miradi mbalimbali ya serikali kama kujenga hospitali, barabara, shule, mishara na marupurupu...
Back
Top Bottom