Recent content by Bnon

  1. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mdau wa JF kuomba msaada Mgonjwa wake afanyiwe upasuaji, MOI yatoa ufafanuzi na maelekezo

    Nitafanya ivyo ndugu 🙏 ,nitarudi hapa jukwaani kuwajulisha . Asanteni watanzania wezangu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mdau wa JF kuomba msaada Mgonjwa wake afanyiwe upasuaji, MOI yatoa ufafanuzi na maelekezo

    Asanteni sana ndugu zangu naanza ufatiliaji.
  3. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Msaada wa haraka wapendwa, mgonjwa wangu anahitaji Upasuaji MOI na familia haina fedha

    Asante sana ndugu yangu🙏🙏nitafanya ivyo
  4. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Msaada wa haraka wapendwa, mgonjwa wangu anahitaji Upasuaji MOI na familia haina fedha

    Sawa Kaka nataka kuchukua vielelezo vyote vya hospital na picha kila kitu niambatanishe... 🙏🙏🙏🙏asante kwa ushauri.
  5. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Msaada wa haraka wapendwa, mgonjwa wangu anahitaji Upasuaji MOI na familia haina fedha

    Pikipiki ya mkopo zile za makampuni Hadi umalize ndo unapewa document Kaka.
  6. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Msaada wa haraka wapendwa, mgonjwa wangu anahitaji Upasuaji MOI na familia haina fedha

    Kaka asante sana... Kwa ushauri mzuri... Pikipiki ilikua ya mkopo .. pia wazazi walifariki wadogo atukuachiwa ata mashamba na yeye bado kijana alikua ndo anajitafuta apate chochote kitu.. ila menginenafanyia ushauri asante ndugu zangu🙏🙏🙏
  7. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Msaada wa haraka wapendwa, mgonjwa wangu anahitaji Upasuaji MOI na familia haina fedha

    Asante sana ndugu yanguu nafanyia kazi ushauri wako.
  8. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Msaada wa haraka wapendwa, mgonjwa wangu anahitaji Upasuaji MOI na familia haina fedha

    Ok asante Kaka... Vyote tumeshafanya lakini bado Hali ni ngumu.... Familia ni masikini sanaaaaa ndugu yangu.. aisee🙌🙌🙌
  9. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Msaada wa haraka wapendwa, mgonjwa wangu anahitaji Upasuaji MOI na familia haina fedha

    Kiufupi Hadi sasa wamesaidia sana.... Kaka ... Lakini pesa ni nyingi .. ata hapa tulipofika wameungana nasi... Maana familia yetu ni zaidi ya duni Kaka.
  10. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Msaada wa haraka wapendwa, mgonjwa wangu anahitaji Upasuaji MOI na familia haina fedha

    Ilikua ya mikopo na ajamaliza deni ndugu😭
Back
Top Bottom