Recent content by bne

  1. B

    JamiiForums Tanzania MPAKA LINI TUTAKUJA HURU?

    Kwa mawazo yangu nafikili nch tutakuja kua huru pale taasisi mbili muhimu zitakapokuja kupata viongozi wenye akili na wenye kujielewa. Wenye kujali maslai ya taifa zaidi kuliko kujali maslai yao binafsi. Taasisi hizo ya kwanza ni jeshi la polish. Siku ukipata kiongozi anaejielewa na kuelewa kua...
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ningekuwa CCM hata mniue siwezi kufanya REFORMS kamwe

    Huo ndio ukweli hivyo ccm inapaswa kulazimishwa kufanya reforms. Lkn kuiomba ccm ifanye reform ni ndoto za mchana
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali yakiri Watu kushangilia Kifo cha Ndugai, ila yasema itawaeleza vijana kwamba hilo si jambo zuri

    Nimewapigia saluti watu wa kongwa. BIGUP
  4. B

    JamiiForums Tanzania Huyu Sheikh aongezwe kwenye rodha ya Mashahidi wa Jamhuri dhidi ya Lissu. Alisikia kwa masikio yake juu kukinukisha ili uhaini ufanyike

    Mue mnafwatilia taarifa kwani we hujaona video za huyo shehe akiongea?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Martha Karua aliyezuiwa kuingia Tanzania awasili Kenya, apokelewa na wanaharakati. Aiponda CCM, Serikali na Rais

    Hayo nayo ni mawazo ya kijinga sababu unasemaje kua tunaishi kwa Armani wakati Jamii Inalia kwa kutekwa na kupotezwa? Au sababu sio ndugu zako?
  6. B

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Samia amuombea kura za Ukurugenzi wa WHO Mohammedi Janabi

    Sehemu kubwa ya maandishi yako yametuama ktk kumsifia raisi samia kama vile yeye ndie mgombea. Nilitegemea utumie nguvu kubwa kumpamba JANABI ili sisi tujue ubora wake. Zaidi naona andishi lako limelenga kujipendekeza tu.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA wanapukutika, wanabaki wananchi “wanyonge” tu

    Hujui ukisemacho. Wote hao ni wastaafu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Lissu jifunze, Huwezi kushika dola kwa kupambana na dola, Never

    Dah! Naomba tafadhari niambie chama chochote kilichotumia njia ya kistarabu ktk kuviondoa vyama vya ukombozi afrika. Hivi vyama vya ukombozi vinasirika moja ya kung'ang'ania madaraka
  9. B

    JamiiForums Tanzania Lissu jifunze, Huwezi kushika dola kwa kupambana na dola, Never

    Kwahiyo unaweza shika dola kwa kuiomba dola ikupe dola? Hiyo ni akili au matope? Ninani ambae yuko tayari kuachia dola ili ampe luau? Wote walioshika dola walipambana na dola ndio wakashika dola.
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ndumbaro: Serikali haipendi kabisa matamko ya kukurupuka ya TLS

    Serikali inapotoa rushes ktk vyombo vyake ili isemwe vizuri
  11. B

    JamiiForums Tanzania Lissu anaweza kuivusha nchi lakini hawezi kukivusha chama chake!

    Kwakweli hata mm nimeshangaa sana yaani inakuwaje watu wazima na akili zao wanatoa hoja za kitoto kiasi hicho? Kama hawana hoja za kupambana na lissu nibora wakae kimya kuficha madhaifu yao. Haingii akilini mtu waliotembea nchi nzima wakimnadi ili awe raisi wa nchi eti leo watuambie hawezi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu hana karama ya kuongoza chama kikubwa kama CHADEMA, msifanye makosa ya kumpa Uenyekiti

    Ujinga wa kimataifa. Ni huu yaani tundu lisu hawezi kuongoza chadema lkn anaweza kuongoza nchi. Msitufanye sisi wajinga
  13. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini kelele kwa Lissu na sio kwa Wenje?

    Uwezo mdogo wa kufikili kwa wanao mshangaa lisu
  14. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Lissu na Mbowe leo hii

    Mbona aliyetangaza kugombea makamu mwenyekiti wa chama hamkuhoji pesa alitoa wapi? Acheni udikiteta wa madaraka. Ni ujinga huo
  15. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tunduma: Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Azikwa

    Hakika ni ukichaa wa madaraka. Iko cku watalipa
Back
Top Bottom