Recent content by bmbalamwezi

  1. bmbalamwezi

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa Utawala Bora Tanzania

    Jitihada za Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli za kujenga na kuimarisha Tanzania Mpya zitafanikiwa endapo utamaduni mpya wa Kitanzania utajengwa na kutiliwa mkazo. Utamaduni huu ni wa kuwa na maadili ya Kitanzania (Tanzanian Ethics), yaani tujenge Adili ya...
  2. bmbalamwezi

    JamiiForums Tanzania Serikali (TAKUKURU) yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar

    Heko Dkt. Magufuli kwa kazi nzuri unayofanya na timu Yako. Tuko nyuma Yako Mzee kaza buti Mhe: Amiri Jeshi Mkuu wetu Dkt. JPM
  3. bmbalamwezi

    JamiiForums Tanzania Serikali (TAKUKURU) yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar

    Wote mnaomlaumu au kumbeza Rais Magufuli hawaitakii mema Tanzania kwani nchi ilishafikia pabaya. La msingi ni kumuunga mkono ili nchi ibadilike tufaidi sote. Au mnaobeza ndo ninyi mliekuwa wapiga dili?
  4. bmbalamwezi

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Dr. Abdallah Possi kuwa naibu waziri

    Asante Mhe. Rais kwa kumkumbuka Dr. Possi
  5. bmbalamwezi

    JamiiForums Tanzania Magufuli akifanya kama Mwanawasa kuna madhara gani?

    Wako Nyumbani kwao
  6. bmbalamwezi

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Safi sana umemweleza mtu huyu asiye na shukrani. Anadhani bado tupo kwenye kampeni kama baba yao juzi alivyosema kuwa anaamini atakuwa rais wa Tanzania. Labda Tanzania ya kuchonga ndo inaweza kuongozwa na mtu kama mamvi
  7. bmbalamwezi

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Ndugu acha uongo wako. Ulikuwepo wakati anaambiwa atangaze Baraza au ni uhuni wako
  8. bmbalamwezi

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Wee nani Bwana ututishe na kutokumwamini Rais, basi kaongozwe na Lowassa
  9. bmbalamwezi

    JamiiForums Tanzania Kumbe Dk Hamisi Kigwangalla ana CV ya kutisha!

    Dr. Hamis K. ni msomi mzuri acheni kulumbana. Ataimarisha Wizara ya Afya kwa kiwango kikubwa. Kwa heri.
  10. bmbalamwezi

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Chagonja, amehamishwa kwenda Jeshi la Zimamoto

    umeipata wapi na wakati gani
  11. bmbalamwezi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

    Wewe ata ukiambiwa ni mwanaume utabisha utasema kuwa wewe ni mwanamke kwa sababu hulka yako ni ya ubishi. Soda zimeshuka bei, saruji imeshuka bei, unga na sukari viko mbioni kushuka bei. Kodi mabilioni yamekusanywa kipindi kifupi hata hayo huoni, ama kweli ukistaajabu ya JK utaona ya JPM
  12. bmbalamwezi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

    Mungu atawasamehe kwani mmetambua makosa yenu na kutubu. Dr.Magufuli si msanii ni mchapakazi na ana uzalendo mkubwa kwa nchi yake na watu wake.
  13. bmbalamwezi

    JamiiForums Tanzania Enzi ya Magufuli siyo sawa na enzi ya Kikwete

    Kweli ndugu yangu. Waziri wa Magufuli hapaswi kulala vinginevyo akiamka hana kazi
  14. bmbalamwezi

    JamiiForums Tanzania Enzi ya Magufuli siyo sawa na enzi ya Kikwete

    Punguza mihemko ndugu. Hapa kazi tu. Magufuli ndiye Rais wa wakati huu. Ni zawadi tumeletewa kwani nchi ilishaenda vibaya
  15. bmbalamwezi

    JamiiForums Tanzania UKAWA wapata mapigo mawili ndani ya masaa 24 kabla ya uchaguzi

    Oyee ccm ukawa ziii
Back
Top Bottom