Habari wana JF mimi naishi mkoani Dodoma nimejiingiza katika biashara ya ufugaji kuku wa nyama. Shida yangu natafuta vifaranga wa kuku wa nyama wa kununua kwani nimekuwa nikiagiza kwa wafanya biashara wa hapa mkoani lakini changamoto yake ni oda inakaa hadi mwezi sijaletewa nikifatilia adithi za...
Mkuu hongera sana kwa kazi ya kutuelimisha, nimekuwa nikikufuatilia toka mwanzo mpaka sasa. naomba msahada wako katika haya
1.Kitabu chako kwa Dodoma kinaweza patikana maduka yapi?
2. Naomba fomla ya kutengeneza chakula cha broiler kwani naexpirience ghalama ktk kununua chakula.
3.ningependa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.