Recent content by Blueflower

  1. B

    Natafuta Part-time job

    Habari Wana Jamii Forums. Mimi ni Binti nipo office flan posta ni secretary wa pale mda mwingi nashinda nimekaa tu mpaka mteja atakapofika Nilikuwa natafuta kazi ya ziada nikiwa pale nimekaa kama Kuna mtu anakazi zinamlemea tuongee kama ni kutype au kufanya chochote ambacho naweza kufanya Kwa...
Back
Top Bottom