hawa jamaa majuz waliwaita jamaa kwenye oral ya customer care,jamaa wakafanya oral wakafaulu wakapewa makabrasha ya kujaza wakamaliza wakaambiwa j3 waende mlimani city tayar kwa training for that post sasa bas what happens next was stupid ikawa hivi, kufika pale kwanza wakazungushwa sana na dada...
hv hawa jamaa kila cku kutoa majina nusu nusu manake nn jaman kuturusha roho kwa nn wasikamilishe kila ki2 then wayaweke kwa pamoja badala ya kuweka nusunusu tena wakichanganya na majina ya wale waliopangiwa kweny batch za mwanzo
BWANA ISSACK wanaorecruit for tigo wanaitwa NFT wako mikocheni kituo kinaitwa kwa MWALIMU NYERERE, ukishuka 2 pale kama umetokea town ni upande wa kushoto na kama umetokea kawe utavuka barabara then mbele yako utaona kuna road inayoenda moja kwa moja then utakuta road nyingne inakatisha upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.