habar wakuu,ninaomba mwenye uelewa na biashara ya mahind huko kariakoo,ni shilling ngapi kwa sasa kwani nina gunia 500,ilikua nikauze Kenya lakini madereva wanakataa wanadai kuna foleni sana hivyo magari yanachukua hadi wiki nne had kushusha mzigo,naomba msaada wenu ndugu zangu kimawazo hasa...