Recent content by blessedester

  1. B

    SoC04 Giza likome nuru iangaze

    Ni nini sababu ya uwepo wa hili giza? Nani aliitaka nuru na wakati ni giza hilohilo liliwaficha dhidi ya uovu wao , Pengine giza lilitengenezwa liulinde mfumo nufaika. Nini ni kikwazo cha waokutoka maofisini na kwenda barabarani kuhubiri kuhusu kodi? Abadani! na mashati meupe waliyovaa...
Back
Top Bottom