Recent content by bles_x

  1. B

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Moshono Stand - Moshono Kati - Idara ya Maji imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu

    Barabara ya kutoka Moshono Stand kuelekea Moshono Kati hadi Idara ya Maji, mkoani Arusha, imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu bila kupatiwa ufumbuzi. Wananchi wanaotumia barabara hiyo kila siku wameendelea kukumbana na changamoto zinazotokana na ubovu wa miundombinu, hali inayosababisha...
Back
Top Bottom