Habari ndugu zangu, naomba msaada.
Niliwasilisha ombi la mafao ya mkupuo (lump sum) NSSF tarehe 31 Julai, na namshukuru Mungu nilifanikiwa kutoa alama za vidole tarehe 10 Agosti katika ofisi ya NSSF Ubungo.
Naomba kujua, kwa kawaida huchukua muda gani kupata mafao baada ya kukamilisha hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.