Recent content by Blasio Kachuchu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tramepro yatoa wito wa uwajibikaji katika usambazaji wa taarifa

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. SHIRIKA la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania (TRAMEPRO) limewataka wananchi, viongozi, waandishi wa habari na watumiaji wa mitandao ya kijamii kuhakikisha wanahakiki taarifa kabla ya kuzisambaza, likisema taarifa sahihi ni msingi wa kujenga umoja...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania yaungana na viongozi wa biashara katika CEO Golf Tournament 2026

    Mkurugenzi wa Vodacom Business, Nguvu Kamando (Kulia) akikabidhi zawadi kwa mshindi wa jumla kwa upande wa wanaume Thomas Mwangi (kushoto) katika mashindano ya CEO Golf Tournament 2026, iliyofanyika Septemba 26, 2026 katika viwanja vya Sea Cliff Golf Course visiwani Zanzibar. Mashindano hayo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya Exim Tanzania Yashiriki CEO Golf Day 2026

    Benki ya Exim Tanzania imeungana na viongozi wa taasisi, wafanyabiashara, washirika na wadau mbalimbali katika CEO Golf Day 2026, hafla iliyofanyika Septemba 26, 2026 katika Sea Cliff Golf Club, Zanzibar, na kuwakutanisha viongozi wa biashara, wanadiplomasia na wachezaji wa gofu kutoka Tanzania...
  4. B

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank Foundation Yaunga Mkono Uwezeshaji wa Wanawake katika Sekta ya Madini

    Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa akikabidhi tuzo ya Mdamini Mkuu wa Malkia wa Madini kwa Mkuu wa Kitengo cha Uendelezaji Biashara Changa na Ujumuishaji wa Kifedha, Ndugu, Fadhili Bushagama (kushoto) pamoja na Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Jumanne Wagana, wakati wa kilele...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Puma Energy Tanzania waadhimisha hatua ya kampuni kufikisha vituo 100

    Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM: Wafanyakazi wa Puma Energy Tanzania wamekutana jijini Dar es Salaam kusherehekea hatua ya kampuni hiyo kufikisha vituo 100 vya mafuta na huduma za ziada nchini, huku wakitambua mchango wao katika mafanikio hayo. Tukio hilo lililofanyika Septemba 19, 2026...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Serengeti Lite yazidi kuibua vipaji kupitia Nyota Bigi msimu wa pili

    Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam-Tanzania, 17 Septemba 2026: Je, umekwama katika ufanyaji wa kazi ambayo unajua kabisa hiyo siyo kwa ajili yako, na umewahi kujiuliza kama kitu ambacho una uwezo nacho ni kile ambacho unakifanya kila siku ukiwa nyumbani, njiani au kwa ajili ya kujifurahisha tu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania TBL na Vodacom zawajengea uwezo Wafanyabiashara 150 Jijini Mwanza Kupitia Mafunzo ya GRIT

    Mkuu wa Idara ya Masoko na Uwezeshaji, Vodacom Business, Joseph Sayi, akizungumza na wafanyabiashara wa rejareja wa bidhaa za Tanzania Breweries PLC (TBL) wakati wa semina ya kuwajengea uwezo kupitia Mpango wa Maendeleo ya Wafanyabiashara wa Rejareja (GRIT), iliyofanyika jijini Mwanza jana...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania Champions Digital Infrastructure and Regional Connectivity at ITW & Datacloud Africa 2026

    Nairobi, Kenya: Africa’s next phase of digital transformation will require more than expanding connectivity, with stronger fibre networks, data centres, cloud infrastructure, reliable energy and an enabling investment environment needed to support the continent’s growing digital economy. This...
  9. B

    JamiiForums Tanzania TBL na Vodacom Tanzania Waingia Makubaliano (MoU) Kuwawezesha Wafanyabiashara zaidi ya 26,000 Nchini

    Mkurugenzi wa Vodacom Business, Nguvu Kamando (kushoto) akimkabidhi zawadi ya ukumbusho Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Breweries Limited (TBL) Bi. Michelle Kilpin (kulia) mara baada ya hafla ya kusainiwa kwa Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) kati ya kampuni hizo mbili, iliyofanyika jijini Dar es...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nyerere Cycling Tour Watangaza Washirika wao wa mwaka 2026

    Washirika wa Nyerere Cycling Tour, wakiongozwa na Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC, Zuweina Farah (wa nne kulia), ambaye aliwakilisha Vodacom Tanzania PLC kama mdhamini mkuu wa msafara huo, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano na waandishi wa habari na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania FY2026 ESG Report

    Mkurugenzi wa Miundombinu wa Vodacom Tanzania Plc Andrew Lupembe akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa ripoti ya ESG ya mwaka 2026. Vodacom Tanzania has released its FY2026 ESG Report, where by emissions are down 24%, with two million litres less diesel burned after 1,808...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Corporate Masters Golf 2026 yakamilika, yaimarisha uhusiano wa kibiashara Tanzania

    Washindi wa Vodacom Corporate Masters 2026 Golf Tournament katika makundi mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupokea zawadi zao, Tukio hilo lilifanyika Lugalo Golf Club, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mkurugenzi wa Vodacom Business, Nguvu Kamando (kushoto), akikabidhi zawadi ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania SBL yaimarisha dhamira yake kwa Dira 2050 wakati wa ziara ya Kamati ya Bajeti ya Bunge katika kiwanda chake cha Moshi

    Kilimanjaro-Tanzania: Kampuni ya Bia Serengeti (SBL) imeeleza mchango wa uwekezaji wa sekta binafsi katika mageuzi ya kiuchumi ya Tanzania wakati wa ziara ya wajumbe wa Kamati ya Kudumi ya Bunge ya Bajeti katika kiwanda chake Kilimanjaro-Moshi. Ziara hiyo ilitoa fursa kwa kamati kujionea moja...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya Exim yaadhimisha miaka 29 ya ubora kwa vitendo, ikiunga mkono juhudi za usafi wa jamii

    Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania Stanley Kafu (wa pili kulia) wakipeana mikono na Diwani wa Kata ya Kawe Mheshimiwa Fabian Malima (katikati) baada ya kukabidhi vifaa vya kufanyia usafi wa jiji. Shughuli hiyo imefanyika kama kilele cha kusherehekea miaka 29 ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Digital Accelerator na Bridge for Billions waingia ubia wa miaka mitatu kuimarisha mfumo wa ujasiriamali Tanzania

    Mkurugenzi wa Vodacom Business Nguvu Kamando (kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi wa Programu za Afrika wa Bridge for Billions, Liliosa Mbirimi (kulia), muda mfupi baada ya kutangazwa kwa ushirikiano wa miaka mitatu kati ya Vodacom Digital Accelerator (VDA) na Bridge for Billions. Ushirikiano...
Back
Top Bottom