Recent content by Blance93

  1. Blance93

    JamiiForums Tanzania Hizi mbinu za Kuficha Bunduki, zinaisaidia CCM au zinaiangamiza? Nani yupo nyumba ya huu mchezo?

    Wametoka kwenye waumini wakatoliki bila mafanikio,wamehamia chadema sasa
  2. Blance93

    JamiiForums Tanzania Tuwaadhibu walioharibu miundombinu yetu

    Vip papa bado hajakujibu au aliyepeleka barua alienda kwa baiskelii.
  3. Blance93

    JamiiForums Tanzania Mmekaza kusema wameuawa wameuawa, mbona hamsemi wameuawa wakiwa wanafanya nini? 2026 Linda roho Yako kuliko kitu Chochote

    Kwa hiyo kwa akili hizi kuuwa sio dhambi maana hakuna asiye na dhambi hapa duniani,hivo yoyote anaeua mwenye dhambi hatendi dhambi.
  4. Blance93

    JamiiForums Tanzania Mmekaza kusema wameuawa wameuawa, mbona hamsemi wameuawa wakiwa wanafanya nini? 2026 Linda roho Yako kuliko kitu Chochote

    awa tuseme kifo ni hukumu,basi ni lini au wap Mungu alimpa hayo mamlaka binadamu ya kutoa hiyo hukumu?! Na hiyo biblia unayosoma wapi iliporuhusu binadamu kumwua binadamu mwenzie anapoona ametenda dhambi?
  5. Blance93

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Barua ya wazi kwa Balozi wa Papa juu ya kauli ya Askofu Ruwa’ichi

    Basi ungewachia wakatoliki hiyo kazi ya kukataa mawazo ya viongozi wao,ila ww usiye mkatoliki ungekaa pembeni sio kufundisha watu Cha kufanya.
  6. Blance93

    JamiiForums Tanzania Mmekaza kusema wameuawa wameuawa, mbona hamsemi wameuawa wakiwa wanafanya nini? 2026 Linda roho Yako kuliko kitu Chochote

    Kwa hiyo roho isiyotenda dhambi haifiii?! Na lini Mungu alitoa mamlaka kwa binadamu kuondoa uhai wa binadamu mwenzie aliyetenda dhambi?!
  7. Blance93

    JamiiForums Tanzania Hakuna kuridhiana na wauaji, watekaji, na walawiti. Ulijitia kiburi leo unataka maridhiano ya nini?

    Na mwamposa na yule nabii Musa pia watakuwepo upande wa viongozi wa dini.
  8. Blance93

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Clemence Mwandambo akamatwa (tena) na Polisi kwa tuhuma za kijinai

    Si umwache achague anachopenda,mbona wewe umechagua kuwa chawa na hakuna aliyekubughudhi
  9. Blance93

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Barua ya wazi kwa Balozi wa Papa juu ya kauli ya Askofu Ruwa’ichi

    Hoja mfu ni zako unaejifanya mkatoliki ilihali ata ulipobatizwa hukujui,kajipange uje upya tafuta ata cheti Cha ubatizo Cha mchongo weka hapoo
  10. Blance93

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Barua ya wazi kwa Balozi wa Papa juu ya kauli ya Askofu Ruwa’ichi

    Ulibatizwa wapi ww?! Na namba Yako ya ubatizo ni ipii?! Cheti Cha ubatizo unacho kiweke ili kuzipa hoja zako uzito tofauti na hapo wee shekhe ubwabwa tuu
  11. Blance93

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Barua ya wazi kwa Balozi wa Papa juu ya kauli ya Askofu Ruwa’ichi

    Namba Yako ya ubatizo tafadhalii
  12. Blance93

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Barua ya wazi kwa Balozi wa Papa juu ya kauli ya Askofu Ruwa’ichi

    Hapana atutajie tuu namba yake ya ubatizo vingine vyote tutavikuta humo
  13. Blance93

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaharakati wanajali usalama wao bila kuthamini usalama wetu?

    Kwani wewe uliwaona kina Muliro,wambura,Mgunda,Mombo wakiwa front kuzuia maandamano kwa vitendo??!
  14. Blance93

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chozaile: Polisi wamevamia nyumbani kwangu baada ya kunikosa wamepiga watoto na kukamata familia yote

    Kuna hoja Gani hapo Sasa?!kwa hiyo utaratibu wa polisi sikuhizi ni kwamba wakienda kumkamata mtuhumiwa wakimkosa wanachukua waliowakutaa?!
Back
Top Bottom