Recent content by blakali alfred

  1. B

    Naomba msaada ipi ni kozi bora zaidi Kati ya civil engineering na geomatics Kwa level ya degree

    Nilichagua vya dar tu nikapata ardhi na st. Joseph ila st Joseph kipengele kikawa kwenye fees nikaona ni confirm ardhi
  2. B

    Naomba msaada ipi ni kozi bora zaidi Kati ya civil engineering na geomatics Kwa level ya degree

    Habari za muda huu wadau wa JamiiForums, Naomba mwenye uelewa zaidi kwa kozi ya civil engineering na geomatics anisaidie kufanya comparison Kwa nyanja mbalimbali. Mfano marketability, ushindani , ugumu wa masomo na kazi ,Fursa za ajira ( kujiajiri na kuajiriwa pia) na Mishahara ya kazi...
  3. B

    Msaada kuhusu kozi ya Mining Engineering

    Wakuu, Nina ndugu yangu anataka kusoma mining engineering mwenye uelewa naomba msaada kama hii coarse pia ajira zake zinasumbua sana.
Back
Top Bottom