Recent content by Blackperson

  1. B

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI ajira za mkataba afya mlizotoa zimekuwa jipu

    Wanasiasa nawachukia sijawahi kupiga kura maisha yangu yote
  2. B

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI ajira za mkataba afya mlizotoa zimekuwa jipu

    Na tuliziaminisha jamii tumepata za moja kwa moja
  3. B

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI ajira za mkataba afya mlizotoa zimekuwa jipu

    Asante kwa ushauri.
  4. B

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI ajira za mkataba afya mlizotoa zimekuwa jipu

    Na tuliaminishwa vibaya tangu tukiwa shule uhakika wa ajira ila mateso ni makubwa kuanzia diwani hadi mwananchi wa kawaida.
  5. B

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI ajira za mkataba afya mlizotoa zimekuwa jipu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umekasirika
  6. B

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI ajira za mkataba afya mlizotoa zimekuwa jipu

    Iko Hivi WB wametoa billion 600 kama Grants kusaidia afya ya mama na mtoto. Tamisemi ikaajiri watumishi 300 kwa Mkataba was miaka mitatu majina walichukua kwenye database ya waliomba ajira mwezi was nne mwaka 2023 hivyo Kuitwa kazini ilikuwa mwaka huu January. Tukalipoti kazini na kupanga...
  7. B

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI ajira za mkataba afya mlizotoa zimekuwa jipu

    Unaenda kwenu una malimbikizo yote na naidai serikali inilipe. Heri nusu Shari kuliko Shari kamili.
  8. B

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI ajira za mkataba afya mlizotoa zimekuwa jipu

    @cocastic tuko wote kwenye jukwaa la ajira siwezi kukimbia sijui naenda wapi nataka nipate haki kwa uzuri wala sio kupanic
  9. B

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI ajira za mkataba afya mlizotoa zimekuwa jipu

    Narudi wapi nilikotoka kugumu pia akili imestuck
  10. B

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI ajira za mkataba afya mlizotoa zimekuwa jipu

    Unatakiwa ujue ukitoka unaenda wapi ?
  11. B

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI ajira za mkataba afya mlizotoa zimekuwa jipu

    Changamoto inaanza hapo ?
  12. B

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI ajira za mkataba afya mlizotoa zimekuwa jipu

    Haah na kwanini wameita kazini na wanajua hawana hela.
  13. B

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI ajira za mkataba afya mlizotoa zimekuwa jipu

    Tamisemi ndo wahusika
  14. B

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI ajira za mkataba afya mlizotoa zimekuwa jipu

    Kibinadamu inaumiza sana .
Back
Top Bottom