Recent content by Blackmambaa

  1. Blackmambaa

    JamiiForums Tanzania Kufuga kuku kutakavyobadilisha maisha ya vijana

    Leta lako mzee
  2. Blackmambaa

    JamiiForums Tanzania Kufuga kuku kutakavyobadilisha maisha ya vijana

    Habari ya wakati huu wapendwa ningependa niwashilikishe hili wazo la biashara ya kufuga kuku wa nyama (broiler) Kuanza na vifaranga 2000 2000@1900 3,800,000 Mabanda inategemea na sehemu ulipo. Vyakula pia inategemea ulipo Chanjo 250,000 Mkaa guniaa 6@300,000 Kijana 200,000 Total summary ni...
  3. Blackmambaa

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa ABC's za Uwakala sukari au mafuta

    Kwanza kabisa unatakiwa uwe na business license ,tin certificate na documents zote zinazokutambulisha kama mfanyabiashara mkubwa anzia hapo kwanza
Back
Top Bottom