Recent content by BlackholeTz

  1. BlackholeTz

    Make it undetectable( blackhat sytle >>> WAPENZI wa windows defender kuweni makini)

    dah wewe jamaaa una hatari sana ....sasa hizi ndo nyuzi za kusoma humu khaaa ...umenifunza kitu kikubwa saana mkuu . nimechek video saa limoja nimeona kama dakk 15 maana somo zuri sana.BIG UP
  2. BlackholeTz

    Tambua kama unadukuliwa WhatsApp yako

    Mzeee hio nyie script kiddie ndo mnatumia kuna njia official now ndo iko worked Sent using Jamii Forums mobile app
  3. BlackholeTz

    Jinsi ya kutoa pesa paypal kwenda m-pesa ya TZ

    Nyie tomaaa pigen kaz hawa wanawake waimba taarabu wa jf wasiwakwamishe Sent using Jamii Forums mobile app
  4. BlackholeTz

    Naomba kujua ubora wa Oppo na Xiaomi mi red 4.

    Ndo maaana nasema cwez bishana na waimba taarabu...Fikiria ivo ivo mzee baba
  5. BlackholeTz

    Naomba kujua ubora wa Oppo na Xiaomi mi red 4.

    Simu ni matunzo as longr as unayo OG sio copy
  6. BlackholeTz

    Naomba kujua ubora wa Oppo na Xiaomi mi red 4.

    Usiongeeee kama muimba tarabu wewe.....Cm ni yangu na ina mwaka na....No stack na haijui fund na inapiga mzigo mzgo. Hiyo redmi 4x nenda kwenye page yao ya youtube utaona wamepigia salute Infinix hot s3 Infinix wameanza kujitambua kuanzia brand hii kuweka snapdragon processor n.K.....
  7. BlackholeTz

    Naomba kujua ubora wa Oppo na Xiaomi mi red 4.

    [emoji1589][emoji1589][emoji1589][emoji1589][emoji1589][emoji1589]Tecno Hao ni infinix [emoji1531][emoji1531][emoji1531][emoji1531][emoji1531][emoji1531][emoji1531]
  8. BlackholeTz

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Hio ni kwamba ukiweka modem yako itakuambia kama inasupoort au no...Ila cha msingi ni kufuata maelekezo maana ni powerful tool
Back
Top Bottom