Recent content by blackertheberry

  1. B

    INAUZWA Tunauza suti kwa bei nafuu kabisa

    Kwanini Dar wanunue bei kubwa kuliko mikoani
  2. B

    Kuna usalama wowote katika kununua na kuuza hisa za DSE online?

    Mkuu, kwanza kabisa Shukrani kwa kunitoa wasiwasi kwenye hili. Lakini nimekwama sehemu moja na naomba msaada zaidi; nimeweza pale kuchagua hisa nazotaka kununua na kiasi nikaweka pamoja na offer yangu, nikaletewa controll namba kwa ajili ya malipo, swali langu; je nikishalipia ina maana nakuwa...
  3. B

    Kuna usalama wowote katika kununua na kuuza hisa za DSE online?

    Shukrani sana mkuu. Nilihitaji tu uhakika kutoka kwa mtu ambaye ameshawahi kufanya hili. Naanza leo.
  4. B

    Kuna usalama wowote katika kununua na kuuza hisa za DSE online?

    Nimeona DSE wana mfumo wa kuuza na kununua hisa online. Huwa natamani sana kuingia kwenye huu uwekezaji maana naweza kuweka pesa zangu ndogondogo huko badala ya kuzitumia ovyoovyo. Siwezi kwenda kwa broker kununua hisa ya elfu kumi. Online inakuwa rahisi zaidi. Je, kuna mtu anafanya hii au...
Back
Top Bottom