Recent content by blackboard

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi, tamaa za kuongeza mahari zitapelekea binti zenu kuzeekea nyumbani

    Vip na pale umeambiwa 1.5 m ukalipa 1 kwamba 5 utalipa badae. Baaa ya muda baba mkwe anaanza kudai iyo 5 anawapigia simu adi ndungu zako umechelewa kumalizia mahari kwamba umekosa heshima! unadharau! Licha ya kumueleza hali yako kwa ss sio nzuri?! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom