Kwani mkuu, kuna njia ngapi za kutoa taarifa..!?
Ni lazima majina yatoke kwenye karatasi la pamoja (PDF)?
Kuna tatizo aliyepata bahati akipigiwa simu?
Ukienda kwenye interview za kazi za kiraia, huwa hawapigi simu?
Kupiga simu hairuhusiwi kwa taasisi za umma?
Ukichagua utaratibu wa taasisi yako...
Ungekuwa uzi wa kulipia, ningekuwa nimepiga sana hela…
Nimegundua vijana wengi hawana ajira. Serikali imegundua hilo ndio maana awamu hii watabeba wengi sana kutoka mtaani, kwa kuwa ajira za kiraia ni chache sana…
Wameona ni bora wakawapeleke porini huko 😃
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.