Recent content by bj

  1. B

    bypassing ISA server

    Nashukuru sana amanigk,richard na shy. la screen nimelitatua kwa kfuata maelekezo yako amanigk. Lile la ISA server ni kwamba kuna system admin na anatubania na ndio nikawa natafuta njia ya kuaccess sites bila kumwomba yeye maana hata nikimwambia haitasaidia. Nashukuru kwa michango yenu mizuri...
  2. B

    bypassing ISA server

    Wana JF. hapa ninapofanyia kazi kuna ISA server na siwezi kudownload files ninazotaka na some sites hazifunguki. Kuna mtu anajua how to bypass the ISA server ? Tatizo la pili kuna mdogo wangu sijui alifanya nini kwenye computer na sasa maneno kwenye screen yapo upside down. nifanyeje ? Shy...
Back
Top Bottom