Recent content by Bizy

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nimesitisha Zoezi la kutafuta mchumba JF

    Wengine wanafurahia kucheza na akili za watu! Endelea kumtumainia Mungu, utampata tu aliye serious.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi mwenye mapenzi ya kweli.

    Kila la heri
  3. B

    JamiiForums Tanzania Siami ni kama nimekosa mpenzi wa kuoana naye humu jamii forum

    Poa, mimi ni dada lakini..!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Siami ni kama nimekosa mpenzi wa kuoana naye humu jamii forum

    Utapata tuu, endelea kuamini hivyo..!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa kwa bei nafuu.

    Ungeweka bei ingekuwa vema sana.
  6. B

    JamiiForums Tanzania JF imenipatia binti.

    Hongereni sana na kila la heri katika kutimiza ndoto yenu.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Naamini mume wangu atapatikana humu JF

    Sijakuelewa ndugu. Unamaana gani?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naamini mume wangu atapatikana humu JF

    Mh...!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naamini mume wangu atapatikana humu JF

    Asante sana
  10. B

    JamiiForums Tanzania Naamini mume wangu atapatikana humu JF

    Ni kweli nimepata PM nyingi, kwa sababu nina mshirikisha Mungu katika suala hili, naamini ananiongoza vema katika kumjua nani hasa ananifaa...Soon nitakuja hapa kuwapa feedback.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naamini mume wangu atapatikana humu JF

    Asante sana.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Naamini mume wangu atapatikana humu JF

    Pole....
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuwa Single maisha yangu yote yaliyobakia Dunia hii

    Tafakari kwa makini hayo maamuzi unayotaka kuyafanya! Naona ni maamuzi mazito sana..
  14. B

    JamiiForums Tanzania mume wa mtu

    Hakuna kitu kinaponza kama kumpa mwanaume nafasi ya kumsikiliza wakati unaelewa nini anataka.! Umeshamwambia una mpenzi wako.. Sasa unampa nafasi ya kukubughudhi kwa nini? Kama akikupigia simu usipokee, sms usimjibu..! Au na wewe unampenda??
  15. B

    JamiiForums Tanzania Naamini mume wangu atapatikana humu JF

    Thanks Wendie.
Back
Top Bottom