Taasisi ya utoajii huduma za afya ya Aga Khan, Tanzania kupitia ubia wa kukabiliana na UVIKO-19 kati ya Umoja wa Ulaya na mtandao wa maendeleo wa Aga Khan imezindua jukwaa la mafunzo ya kiduitali kwa Wataalamu wa Afya.
Waziri Ummy amewataka NIMR Kuwa na Mashamba kiła Halmashauri watakayotumia kuotesha Miti Dawa. "Nimewapa maelekezo NIMR, Nataka kuona Mashamba ya miti Dawa nchi nzima, kwa kuangalia upatikanaji wa hizo dawa. Kwasababu hizi dawa zimetusaidia na zimetutibu" Alisema Waziri Ummy.
Aidha Waziri Ummy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.