Sasa Ndugu Yangu, Na Wewe nakujua ni mtu Mzoefu unasema Waalimu Waache kufundisha Unataka watoto wako Wafunsishwe na nani? Tukikaa kimiya Huoni kwamba tunaangamiza taifa. Sisi ni wadau Wa Elimu lazima tuongee hata kama kuna watu kama wew Wanaopenda mwalimu anyanyasike, sisi tutaleta maovu yo...
" Jana Niliona toleo lilotamalaki sana kwenye Vyombo vya habari kuwa Wazazi wasiwapeleke Watoto wao Kusomea Ualimu kutokana na Maslahi Kiduchu amabyo mwalimu Anapata au Analipwa.
Nikaenda mbali sana kwa kuwaza na kuwazua Nikaona nianze Kufanya Uchunguzi wangu wa ndani kabisa.
Sasa kabla...
Majigambo TU hayo hayana Uhalisia kwa Sasa, Atatumia hela Hadi Atazidisha kile kiwango Ambacho Alipaswa Kulipa na Mwisho Wa Siku Atalipa tu. apende Asipende
Zitamtokea Puani
Kwenu Wana Jamii , Kuna Haja Kubwa Ya Kuchunguza Hizi Taasisi Binafsi Kwani Kuna Ukiukwaji Mkubwa Wa Taratibu na Sheria za Wafanyakazi huku Kwenye Taasisi Binafsi.
Huku Mambo Hayaendeshwi kwa Sheria Za Nchi Ni kwa Matakwa ya Mtu ,Vile Atakavyoamua.
Mkurugenzi Wa Tusiime Aliamua TU Kuwa Halipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.