Recent content by bisanda56

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kuspecialize Nina Diploma ya Nursing Nifanyeje ?

    Unaweza pia kusomea social work. Ukiwa na diploma ya nursing unaingia kirahisi shahada ya Social work. Ukijiunga chuo Kikuu Huria cha Tanzania huhitaji likizo ya masomo, unaweza kusoma ukiwa kazini, mahali popote duniani.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jina zuri la shule

    Ipatie jina la mtu umpendaye!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya, anaweza kusoma kozi gani VETA?

    Anaweza kusoma certificate ya kilimo au afya, ingawa ushindani ni mkubwa. Mshauri asome certificate ya ufugaji wa kuku Ope:tonguez:n University of Tanzania, itamsaidia kujiajiri.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Serikali kusitisha Ajira za Walimu ifikapo mwaka 2015

    Mahitaji ya waalimu katika shule za msingi na sekondari bado ni makubwa. Haya maoni kuwa ajira ya waalimu itasitishwa ni uvumi usio na mashiko!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nisome nini master degree, naomba ushauri

    Nadhani unahitaji ufanye kazi kwanza, baada ya kumaliza masomo ya shahada ya kwanza, badala ya kuunganisha kusoma masters. Hii inakupa shida kuamua usome nini kwa vile hata hujui utafanya kazi gani. Nina wasiwasi kuwa hujui hata kozi unayosomea itakupeleka wapi? Mtaalamu yeyote hutambulika kwa...
Back
Top Bottom