Habari wadau,
Najaribu kujitoa kama share holder kwenye kampuni fulani kwa sababu ya comflict of interest na ninapofanya kazi.
Niiandika barua kwa maCEOs wenzangu wameipokea je kuna utaratibu mwengine natakiwa kuufuata? Binafsi sihitaji malipo wala nini nahitaji kujitoa kwa njia ya amani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.