Recent content by bintshah

  1. B

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa mbezi louis(mbezi ya kimara)

    Mob hilo eneo ni langu mm. Mimi sio dalali. Ni sehemu yangu na ndio mana nikaitangaza hapa kwakuwa sitaki kupitia kwa dalali. Fanya survey pande hizo kama utapata kwa bei hiyo. Labda maeneo ya mabondeni. Kiwanja tambarare na kipo karibu na barabara, maji yapo, na kipo barabarani kwenye njia za ndani
  2. B

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa mbezi louis(mbezi ya kimara)

    Don 12 wewe unapajua?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa mbezi louis(mbezi ya kimara)

    Mob mil 3 utasubiri kwa nyakati hizi. Nenda kisemvule utapata kwa bei hiyo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa mbezi louis(mbezi ya kimara)

    @ tabby dk 5 kutoka barabara kuu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa mbezi louis(mbezi ya kimara)

    Vina ukubwa wa square meter 440 kila kimoja, vinapakana. Vipo karibu na barabara kuu ambayo inaunganisha mbezi beach na mbezi kimara kupitia goba. Umbali ni dakika 5 kwa kutumia gari. Umeme upo na maji yapo. Bei milioni 8 taslimu kwa kila kimoja. Mawasiliano 0713484896
Back
Top Bottom