Recent content by binti555

  1. B

    Huyu mwanaume anavyonisaliti vibaya

    Eeeh...we vipi cjakuelewa
  2. B

    Huyu mwanaume anavyonisaliti vibaya

    Nna mwanaume tumekaa mwaka wa 5 huu na sasa nna ujauzito miez mitatu. Tatizo lake amekuwa akinisaliti kila mara...ana wanawake km 6 hv tofauti na kibaya zaid anataka tuanze kuishi wote sababu home pia wamekubali...mwaka jana ndio ametoa mahari hivyo sasa anataka tukae pamoja tulee pamoja. Tatizo...
  3. B

    Huyu mwanaume anavyonisaliti vibaya

    Nina mwanaume tumekaa mwaka wa 5 huu na sasa nina ujauzito miezi mitatu. Tatizo lake amekuwa akinisaliti kila mara ana wanawake kama 6 hivi tofauti na kibaya zaidi anataka tuanze kuishi wote sababu home pia wamekubali. Mwaka jana ndio ametoa mahari hivyo sasa anataka tukae pamoja tulee...
Back
Top Bottom