Recent content by Billz_billz

  1. Billz_billz

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Daahh mwamba ana recharge akirudi nguvu zisharud itakuwa maana co kwa hiz radi🙆
  2. Billz_billz

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  3. Billz_billz

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Mkuu vip Hali kwema, mashabiki zako kazi zako huwa zinachangia Sana kuifanya weekend kwenda nyema. Ikupendeza na kama uko salama usiache kutuburudisha tupo hapa tunasubiri,,,'Mono no aware'
  4. Billz_billz

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Shukuran mkuu🙏
  5. Billz_billz

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Mkuu bado tupo hapa mashabiki wa kazi zako, tunasubiri muendelezo. Ikikupendeza shusha mzigo wa kutosha arosto ni kali Sana🙏🙏🙏
  6. Billz_billz

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Daah! Mkuu uandishi wako umetukukuka hongera Sana kwa elimu na burudani pia🙏🙏🙏
  7. Billz_billz

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    ,🙏🙏🙏🙏🙏🙏
  8. Billz_billz

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kiukweli hata mimi nlipata taabu kidg mwanzon lakn toka nmeelewa lengo/dhamira ya mwandishi, imenibd niwe tu mwelew Bila kuchukia Bila kinyongo
  9. Billz_billz

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kwa wale tusio lipia, tusilalame Sana tukubali tu na yatupasa tuwe na subra maana hatuna namna nyingine
Back
Top Bottom