Recent content by BigThinker

  1. B

    APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    APP ya kuuza wazo la biashara ingefaa iwaje . Maoni yako ni muhimu sana kuboresha ili ifiti kwenye kusudio.
  2. B

    APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    Unatoa wazo gani ili iongezeke braza
  3. B

    APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    Hahaha, app aliyouza mshkaji ni ya status. Soma vizuri reply ya mwana ndio ujibu usikurupuke, utatwanga vibichi bro.
  4. B

    APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    Uwe unasoma post vizuri ndio ujibu.
  5. B

    APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    Ndio maana nimeweka services and product. Kama una products unaweza kuuza au kama una services pia unaweza kuuza. Kuna jamaa alitoa intro ya business idea kama 50 lakin ku implement nadhani hadi uonane na jamaa akupe strategy, ni ngumu sana kwa upande wangu.
  6. B

    APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    Haihusiani na thread. kama unataka huduma nyingine unakuja PM. Ova
  7. B

    APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    Kipi kigumu kwako ni kuweka au kuwa na wazo la biashara. Maana kuweka ni rahisi kuliko kuwa na wazo la biashara. APP inasaidia kutafuta partnership au kuuza wazo lako la biashara kwa wahitaji. Ingia utaona walioweka ili upate mwanga.
  8. B

    APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    Wala sio ngumu labda wewe ndio uweke ungumu kwa self-limiting brief.
  9. B

    APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    Unaweka introduction. Trick ya kufanya hiyo biashara ataipata akinunua wazo la biashara.
  10. B

    APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    Nimechukua wazo lako nitalifanyia kazi..
  11. B

    APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    Ingia playstore andika storika studio , unapata list ya app zote ikiwepo BANGO.
  12. B

    APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    Uza baadhi ili uanzishe biashara ya ndoto yako.
  13. B

    APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    Unaweza kutafuta app inaitwa "MAKALA YA BIASHARA" ili uone app ya bango.
Back
Top Bottom