Recent content by bigmakky

  1. B

    East African Federation (EAF) public Views

    akichangia mchadala katika mkutano wa REDET,mheshimiwa zitto kabwe kawapa changamoto wasomi wa tz,acheni woga kwa kwaofia wakenya mtadhani kwamba wanatoka mbinguni kumbe tuko nao hapa hapa duniani na kibaya zaidi hapa hapo afrika ya mashariki,wao wana nini na sisi tushindwe kumekosa nini ...
  2. B

    East African Federation (EAF) public Views

    Tunauwezo wa kushindana na Wakenya,Watanzania tusiwe na wasiwasi,wasiwasi tulionao ndiyo unatudumaza na kuonekana malimbukeni wakati tuko vizuri na hata wakenya wanatambua hilo wanachotumia ni vita vya kisaikolojia tu bigmakky
Back
Top Bottom