Recent content by big s

  1. B

    G. Lema: “Serikali huwezi kutibu Malaria kwa kumpa Mgonjwa Panadol”

    Nakubaliana nawe kamanda lema, na ntakuombea kwa mola kwa maana najua unahatarisha maisha yako. Ningetarajia na bado natarajia matamko kama haya yatoke midomoni mwa viongozi wa juu kabisa wa kanisa katoliki nchini. Ndio, narudia, kanisa katoliki nchini. . .hakuna asiyejua kuwa ndio kanisa...
  2. B

  3. B

    Dk. Mwakyembe: Asiyeipenda bodi mpya TPA aache kazi

    Nampongeza mh waziri kwa jitihada zake na hasa hapo tpa na airport. Ila namuomba, katika speed ya kuwahi analolilenga awe makini na kuangalifu na njia anayopita. Juzi kati hapo bandarini alipeleka waandishi wa habari na kuitangazia dunia kuwa amekamata wezi walioshirikiana na wafanyakazi wa tra...
  4. B

    Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

    Nimekuwa na tatizo la kukoroma kwa miaka 55 na sasa nimegundua limejitokeza kwa mtoto wangu.. Je, wana jf, kukoroma kuna dawa?
Back
Top Bottom