Alichofanya d bora nilale tu nlimuwek sehem mbili lkn kwa yote tujifunze ndugu lkn pia ndan ya wiki kocha virago atabeba sio kwa kuchan [state kubwa cz ya odds siamini ss bt ya kurudisha ipo)
Mimi alikuw 1.15 lkn anachofanya dah ataninyima hela nying kwa state kubwa bt kweny mkeka wa over nasubir kesho na ksh kutwa km akishinda mtajua nauweka mkeka namin yy ndio mchaw
Wadau nimepotea sana week hizi sababu ya vipigo mfulilizo kila nikijitahid bas 1 inachana lkn ahadi ni deni tareh 29 najilipa na faida, sio kaz ndog tuliza akili alf tumia hii ÷ lkn nimechunguz san mkeka ukishare unachanik au ukimwambia mtu bor ujitoe muhanga mwenyew ushare mawazo tu man watu...
Poa nitauweka hapa kesho odds 20 tujitahidi na wengine tuchambue akili ya mtu m1 haiwez kuleta matokeo kila siku cha msingi na wengin tushirikiane kwa upande huu tennis
Wakuu wa tennis tudeal ATP CHALLENGE over 2.5 inatoa san kwa hawa wakubwa ukiwapatia watatu odds 10 unazo au over 20.5 lkn bor 2.5 ina odds nyingi cz weng wanafika set 3 ni hayo maoni yangu [emoji1317]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.