Recent content by bibingi

  1. bibingi

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wakuu sintakuepo hewani kwa muda simu imeleta shida so kesho kutwa ndo ntakuepo mtanangeni ......... Maana hii vita tunayopambana humu sii ya kitoto aisee Mpaka simu imezingua duhh sijui wameipiga na javelina hawa jamaa zetu...
  2. bibingi

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]..... Ndo maana mi huniambii kitu kuhusu kuanzia MWAMBA PUTIN mpaka walio chini yake yaani sisi huku .......tuko smart sana ki akili na ufaham ....
  3. bibingi

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Li NATO mwenzio hilo linaya mimina matusi
  4. bibingi

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Naona kuna watu wanarindimisha matusi mazito mazito humu Wanaume wanasifiwa kuwa na vifua sasa vifua vyetu tuvitumie kubeba vitu vizito tusiwe kama wadada wanao chambana .....tujikite kwenye mada .....wakuu
  5. bibingi

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kaunda nani.....au utasema kapewa na marekani au [emoji849][emoji849]
  6. bibingi

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    [emoji23][emoji23]akili za pro nato sijui zikoje
  7. bibingi

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Alafu kuna mbugila mbugila inakwambia russia si chochote si lolote ... hiiiiiiiii........bhaaaghoshaa....
  8. bibingi

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mi nawashangaa watu kama nyie ....asa unaposema bila nyuklia putin hawezi kitu .....huo ni upopoma the same hata marekani bila nyuklia asingeipiga japan enzi hizo na hata sasa maana alizidiwa na japann nyuklia ndo ilimsaidia na hata sasa bila hiyo nguvu ya nukes marekni asingemtishia mtu ...
  9. bibingi

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jamaa kaamua mbwai na iwe mbwai .....[emoji23][emoji1787][emoji23]
  10. bibingi

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Amenipiga ban mwanangu .......[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Afu kichwani kwake hamna kitu ndio maana ukimdunga na spana za maana za kichwa ana waka anakuwa mkali badala ya kujibu hoja .....
  11. bibingi

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu hapo unajichosha tu mwenzako akishatupia DONA kwa beans baasi anaona maisha ndo haya hajui kuwa kuna mtz mwingine ana hitaji NGANO na ishu zingine zinazo husiana na maisha haya kutoka russian
  12. bibingi

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] Hata kama umeniblack list lakini wewe bibi una kichaa wewe sio bure ....
  13. bibingi

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Na muulize utapelekaje ndege kwenye anga ambalo Macho( RADA )ya russia yanaona mipaka yote ya ukraine na kila kona unaanzaje kwa mfano...
Back
Top Bottom