Recent content by Biariani tamu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Kwakweli ila kuna vijana hapa wanaona na wanafwata, mitandao kwa sasa imekuwa nikitu cha kipaumbele mnoo, kuliko Mungu Dah inasikitisha sanaa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Kweli kabisa unakututa kuna mtu mzima wa miaka 40 na bado anaongea huu upuzi etii KATAA NDOA...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Haya mambo ya kataa NDOA hii ndiyo mwanzo wake. Yaani kwa sasa unaweza kaa na mwanaume ukajiuliza je ni mwanaume kweli au sasa ona kaka ana hadi familia na watoto. Embu watu mtubu nakurudi mikononi mwa bwana na sio kufwata mkumbo wa mitandao
Back
Top Bottom