Wajameni wakati bunge linakaribia kuvunjwa umenaswa waraka unaoonesha mpango wa wanaojiita wawakilishi wa wananchi kujilipa posho za mamilioni ambazo hazilingani na maisha halisi ya wananchi na pia hazifanani na namna wawakilishi hao wanavyotaka jamii iamini kuwa wao ni watetezi wa wananchi...
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ameibuka na staili inayotumiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kuendesha operesheni maalumu za kisiasa, safari hii vijana wanaojihusisha naye wakianzisha vuguvugu la kusaka Ikulu walilolitambulisha kwa jina la ‘4U Movement.
Vuguvugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.