Recent content by BHOOKE SIKUJUA

  1. B

    Tanzania postal bank sales executive

    da oral haikua mbaya ila zaidi ilikua inahitaji mtu ambaye anafahamu mambo ya sale
  2. B

    Tanzania postal bank sales executive

    Jamani mimi nemefanya oroal interview ya sales awamu ya kwanza na hatukupewa written interview, na kazi tumepata wiki hii, hebu jaribuni kuuliza vizuri kwa kupiga simu ili muwe n auhakika kuhusu writen interview, kwa tetesi nilizo nazo hivi sasa post za sales executive hamtakiwi kufanya written...
  3. B

    Tanzania postal bank

    Jamani mwenye taarifa au majibu ya interview tuliyofanya TPB ya Sales officer , please anijuze
  4. B

    Tanzania postal bank

    Hodi mjengoni wanajif, naomba kufahamishwa kama kuna anaefaham kuhusu interview tuliyofanya pale TPB bank last week
Back
Top Bottom