Recent content by bhoke chacha

  1. B

    Umoja wetu wa Kitaifa ulishinda vita ya Tanzania dhidi ya Nduli Idd Amini nchini Uganda na kuwaang'oa Wakoloni walio kalia mataifa yaliyokuwa Kusini

    Heshima,hadhi na nguvu ya Taifa la Tanzania haikuja kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu ila ilikuwa ni kutokana na umadhubuti,dhamira ya dhati na utashi ambao Waasisi wetu wa Taifa walilijenga. Falsafa juu ya heshima ya utu wa mwanadamu,uhuru na Kazi pamoja na kiu ya kuwa na Taifa la Watu...
  2. B

    Siku ya wanawake yawa agenda iliyoporwa na mfumo mpya wa kitabaka ndani ya tabaka

    SIKU YA WANAWAKE YAWA AGENDA ILIYOPORWA NA MFUMO MPYA WA KITABAKA NDANI YA TABAKA Ni muhimu kurejesha mwelekeo wa siku hii ili uweze kutumikia lengo lake la awali la kutetea haki za wanawake Historia ya Siku ya Wanawake Siku ya Wanawake Duniani ilianza kuadhimishwa rasmi mnamo Machi 8, 1975...
  3. B

  4. B

    Prof. Kitila Mkumbo, mwanasiasa msomi ni somo jema kwa wasomi nchini

    Siyo Wanasiasa Wote,Na siasa haiwezi ikabaki mikononi mwa kundi la watu ambao hawajasoma. Tuwape Moyo wasomi wachache wanaoingia kwenye nafasi za kisiasa
  5. B

    Prof. Kitila Mkumbo, mwanasiasa msomi ni somo jema kwa wasomi nchini

    Kabisa,ni miongoni mwa Wasomi wachache ambao wamestawi vyema kwenye taaluma zao na kwenye tasnia ya Siasa walistawi vyema.
  6. B

    Prof. Kitila Mkumbo, mwanasiasa msomi ni somo jema kwa wasomi nchini

    Prof. KITILA MWANASIASA MSOMI ,SOMO JEMA KWA WASOMI NCHINI. Profesa Kitila Mkumbo ambae aliwahi kuwa Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na mwanaharakati wa masuala ya kisiasa. Alizaliwa Juni 21, 1971 katika Kijiji cha Mgela wilayani Iramba, Singida. Prof. Kitila Alexander...
Back
Top Bottom