Recent content by Bhise

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani

    Ndani ya CCM watu wanatafuta Uongozi ili wajikwamue kimaisha. Ukipata Uongozi umetoboa, sababu ya rushwa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani

    CCM inaenda kufa kifo cha mende
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani

    Video haina maneno au kitecno chako ndio hakitoi sauti?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani

    Rushwa ni adui wa haki, acha kutetea wala rushwa wewe. Na wewe ni miongoni mwa wala rushwa tu ndio maana mnateteana
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani

    itakuwa na wewe umeonekana kwenye hiyo video unapewa rushwa bila shaka. hao waliopo videoni wanatambulika kirahisi sana na wanajulikana
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani

    teknolojia imewakalia kooni sana mwaka huu hawana pa kupumulia
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani

    Wachomwe kwenye tanulu la moto wala rushwa wakubwa hao
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani

    CCM itolewe kama nduli Idd Amin Dadaaa alivyoondolewa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani

    Nimecheka sana hapo. Halafu mshikaji anakunja noti zake vizuri anatia mfukoni huyoooooo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani

    anatamani angeiacha hii nchi kwa wakoloni tu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani

    Juu ya yote imetokea mkoani Mara nyumbani kwa Mwalimu Nyerere. Tulitarajia wao wawe mfano
  12. B

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamvaa Dkt. Bashiru mzimamzima - "Aache unafiki, aombe radhi, hatutamuangalia usoni

    Yuvisisiemu wenyewe hawa au kuna wengine? https://www.jamiiforums.com/threads/kama-ulihisi-uvccm-simiyu-ni-kiboko-hebu-angalia-hawa-uvccm-mkoa-wa-mara-wakigawana-rushwa-hadharani.2041760
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani

    na waliopo pichani tunawajua kwa sura na majina yao aibu hizi huku kwetu Mara hazikuwepo
Back
Top Bottom