Yaani vile unampa mkono mwenzako wakati wa kusalimia alafu kuna kale kamchezo ka kupandisha mkono juu alafu kurudi hali ya kukutanisha mikono kawaida.
Sasa hako ka mchezo ndo kama maana gani?

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.