Recent content by Bharka

  1. Bharka

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    wakuu haya maswala yapo nnje ya leo lengo la uzi huu, mbona msiulize mambo ya msingi kuliko kutaka kujua haya? anyway gay ni mwanaume kama ulivyo wewe kimaumbile isipokua kihisia tu, unavofika mshindo wewe ndivyo anavyofika yeye pia.
  2. Bharka

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Dah ila watu wagumu kiais kuelewa, i've said very clear, kua hizo hisia za sexual attraction ninazo tangu nikiwa mdogo sana, ila nimesema tu mala ya kwanza kusex ilikua when i was 14, hapo ndio first time ya kuwa penetrated, na nimeongea hilo ili watu waone kua mtu kua gay sio kwamba huwa...
  3. Bharka

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Duh , mkuu uelewa wako bado mdogo kiasi, mbona wanaishi maisha marefu tu, hadi kuzeeka pia , labda unaongelea hao unaowajua around you. Shida wengine mpaka wanakufa hutakuja kuwahi kujua kama ni gays. Cha msingi kuombeana uzima.
  4. Bharka

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Gay anaerect pia, na anaweza kusex na demu pengine vizuri kuliko hata straight men, shida ni feelings hakuna, au kazi kuzipata , sometimes hadi utumie pills.
  5. Bharka

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Mkuu wala aipiganii NGOs, ila kwa uelewa wangu ni za.muhimu sana. Watu mnachanganya tu kazi za hizo NGOs, Hizo NGOs hazipo kwa ajili ya kuwafundisha ngono salama tu, bali pia kwa ajili ya kuwasaidia wale waliojiingiza kwa kutaka kujaribu tu na baadae wakawa addicted, hizo NGOs zinawasaidia...
  6. Bharka

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Dah nimecheka sana uliposema mkakati NGOs zinanitumia, hahaha, hapana mkuu, ila uhalisia hizo NGOs waziruhusu tu kuokoa hata straight people amini kwamba mkuu. Mzunguko unaweza kukurudia hadi wewe ndugu yangu. Ni vyema hizo NGOs zikawepo waweze kucontrol hawa gays kiasi kwa kuwapa vifaa vya...
  7. Bharka

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Mkuu mboba nimeelezea japo kwa ufupi maisha ya utotoni, nimekua kama watoto wengine, nimecheza michezo yote ya kiume, na nineishi familia wanayomjua Mungu, wala hakukua na gape la kusema ndio limeniharibu. Hakuna kitu kama kujiendekeza, natamani ningekua najiendekeza pengine ningejibadilisha...
  8. Bharka

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Wacha nikufundishe jambo ndugu, hayo maoni niliotoa juu ya kuepusha mtoto wala sikumaanisha kua ukifanya hivyo basi ndio mtoto hatokua gay, hapana, nimeandika kwa sababu hayo mambo angalau yatamfanya mtoto akue akijua hiki ni.kibaya hiki ni.kizuri, wewe sio gay kwa sababu kitu cha kwanza hata...
  9. Bharka

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Duh, uandishi ni taaruma na watu wanasomea miaka mingi chuo, kazi yangu inadili na numbers zaidi na maelezo mafupi kuliko insha na waraka, hata hapo nimejitahidi sana mkuu kuandika.
  10. Bharka

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Duh mkuu swali lako ni tricky na sikutaka kujibu sababu naona kama halina maana yoyote ile kwa maana ya halielimishi kitu katika mada hii, ila wacha nijibu tu, yes kileleni tunafika kama ambavyo.kila.mwanaume anafika, usisahau gays pia ni wanaume kimaumbile hivyo.kuna vitu viko same tu kama wewe.
  11. Bharka

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    nimejitahidi kujibu mkuu, hata hilo nimejibu tazama vizuri.
Back
Top Bottom